10 ni jina la kutaja albamu ya tisa ya rapa wa Kimarekani, LL Cool J. Albamu ilitolewa mnamo tar. 15 Oktoba, 2002 na studio za Def Jam Recordings. Albamu iliweza kushika chati nafasi ya pili katika chati za Billboard 200 huko nchini Marekani. LL Cool J na 10 amefikisha lengo la Def Jam katika historia, kwa kuwa msanii msanii wa kwanza kuwa na albamu kumi kwenye Def Jam (mbali na mpango mzima wa albamu kumi na tatu) akiwa chini ya studio moja.
- "Intro" – 1:04
- "Born to Love You" – 3:42
- "Luv U Better" – 4:47
- "Paradise" (akimshirikisha Amerie) – 4:35
- "Fa Ha" – 4:55
- "Niggy Nuts" – 3:40
- "Amazin'" (akimshirikisha Kandice Love) – 3:58
- "Clockin' G's" – 4:08
- "Lollipop" – 4:45
- "After School" (akimshirikisha P. Diddy) – 4:39
- "Throw Ya L's Up" – 3:52
- "U Should" – 4:20
- "10 Million Stars" – 4:01
- "Mirror Mirror" – 4:26
- "Big Mama (Unconditional Love)" (akimshirikisha Dru Hill) – 5:34
- "All I Have" (Jennifer Lopez akimshirikisha LL Cool J) – 4:14
Albamu – Billboard (Amerika ya Kaskazini)
Single – Billboard (Amerika ya Kaskazini)
Single
|
Chati (2002)
|
Nafasi
|
"Luv U Better"
|
U.S. Billboard Hot 100
|
4
|
"Paradise"
|
U.S. Billboard Hot 100
|
36
|
|
---|
Albamu | |
---|
Single | |
---|
Makala zinazohusiano | |
---|