33Miles

Bebo Norman

Maelezo ya awali
Aina ya muziki Nyimbo za kisasa za Kikristo
Kazi yake Mwanamuziki
Ala Gitaa
Miaka ya kazi 2005 hadi sasa
Studio INO Records
Tovuti Tovuti Rasmi


33Miles ni bendi ya nyimbo za kisasa za Kikristo ambao una mvuto kutoka nyimbo za nchi hasa kutoka sehemu za Franklin, Tennessee. Walianza kucheza muziki yao huko Nashville wakiwa na mkataba na INO Records,studio ambayo ilitoa albamu ya kwanza ya bendi hilo,33 miles,katika mwaka wa 2007. Albamu ilikuwa #8 katika chati ya Billboard Top Heatseekers na #16 katika chati ya Top Christian Albums. Katika wimbo wao wa 2007,There is a God walikuwa wakitaka kuwafahamisha wanasayansi waliokuwa wakisafiri kuenda katika utupu unaozunguka ulimwengu.Iliimbwa mnamo tarehe 3 Septemba 2009 wanasayansi wale walipokuwa wakitaka kupanda ndege yao.[1]

Wanachama

[hariri | hariri chanzo]

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Wimbo Albamu Nambari kwenye chati ya Nyimbo bora
za Kikristo
2007 "What Could Be Better" 33Miles 11
"There Is a God" 25
2008 "Thank You" 12
"One Life to Love" One Life 10
2009 "Jesus Calling" 26
"Joy to the World" Believe 17
"Finally Christmas" 22
  • Kuchaguliwa kama Washindani katika Wasanii wapya bora katika tuzo za 2009 za Visionary [2]
  1. 1.0 1.1 Billboard, Allmusic.com
  2. "The Christian Music Hall of Fame official website". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-29. Iliwekwa mnamo 2010-01-11.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]