Abdelouahad Abdessamad (Kiarabu: عبد الواحد عبد الصمد; alizaliwa 24 Februari 1982)[1] ni mlinzi wa mpira wa miguu kutoka Morocco. Kwa sasa anacheza katika klabu ya Raja Casablanca.
Abdessamad alicheza katika fainali ya Ligi ya Mabingwa wa CAF 2002 na Raja Casablanca.[2]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdelouahad Abdessamad kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |