Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Tanzania, Usultani wa Zanzibar |
Jina halisi | Abdulla |
Tarehe ya kuzaliwa | 1932 |
Tarehe ya kifo | 1960s |
Mahali alipofariki | Jamhuri ya Watu wa Zanzibar |
Mwenzi | Lily Golden |
Mtoto | Yelena Khanga |
Lugha ya asili | Kiswahili |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza, Kiswahili |
Kazi | politician |
Nafasi ilioshikiliwa | Waziri mkuu |
Alisoma | Chuo Kikuu cha Oxford, Peoples' Friendship University of Russia |
Elimu ya juu | political science |
Mwanachama wa chama cha siasa | Afro-Shirazi Party |
Dini | Uislamu |
Political ideology | Umaksi |
Abdullah Kassim Hanga (1932–1969) alikuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kuanzia tarehe 12 Januari 1964 hadi 27 Aprili 1964[1].
Aliuawa bila ya kusikilizwa kwa kesi yake iliyokuwa juu ya madai ya kufanya njama ya kupindua utawala wa Abedi Amani Karume mwaka 1967 nchini Tanzania.[2]
Mwanahabari wa Urusi Yelena Khanga ni binti yake.[3]
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |