Abibi na Apoloni ni kati ya wamonaki Wakristo wa Misri wa karne ya 4.
Abibi alipata ushemasi na ndiye aliyetangulia kufariki.
Hayajulikani mengine kuhusu historia yao, ila tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 22 Oktoba au 4 Novemba.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |