Adrianne Baughns-Wallace

Adrianne baughns-wallace (alizaliwa mwaka 1944) ni mwandishi wa habari wa runinga. Ni Mmarekani wa kwanza mwenye asili ya Afrika kuwa mtangazaji Uingereza, Na pia ni mwanachama wa Connecticut Women's Hall of Fame.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Adrianne Baughns-Wallace alizaliwa Bronx, New York na kulelewa mji wa New York.[1][2] Alisomeshwa Shule ya St. Colombo, shule ya Washington Irving, na Chuo kikuu cha Albany, SUNY, ambapo alijikita katika mawasiliano. Kabla ya kuwa mwandishi wa utangazaji, alifanya kazi katika kampuni ya simu, shirika la magari na shirika la ndege. [1] Pia alifanya kazi kama mtaalum wa madawa wa Air Force.Hitilafu ya kutaja: Invalid parameter in <ref> tag [1] Mnamo mwezi Oktoba mwaka 1978, Baughns alitangazwa kuwa mtangazaji wa kipindi cha saa kumi na mbili jioni cha WFSB’s, kipindi cha Habari kilichotambulika kama Eyewitness News na kuwa mwanamke wa kwanza katika matangazo ya Habari ya jioni.[3] [4] Aliondoka WSFB mwezi Juni mwaka 1982 kwa lengo la kuanzisha kampuni yake ya runinga. [5] Kuondoka kwake kulikuwa ni chaguo la kimaisha. Baughns-Wallace alisikika akisema "Nilikuwa nahitaji kufahamu mwenyewe kile mwanangu alichokuwa akihitaji na kitu tulicho hitaji katika Maisha yetu." [6] Baada ya kuandoka WFSB, Baughns-Wallace alikuwa mtayarishaji wa kipindi cha Essence maalumu kwa wanawake Weusi kilichotangazwa na WPIX katika jiji la New York.[4] Mnamo mwaka 1983, Baughns-Wallace alijiunga na wafanyakazi wa WTNH wa Haven Connecticut akipewa jukumu la kusaidia kuanzisha kipindi cha Newscope. [4]

Operation Fuel

[hariri | hariri chanzo]

Kayika miaka ya 1980, Baughns-Wallace alikuwa mkurugenzi wa Operation Fuel (OF), shirika binafsi lisilo la kutengeneza faida. OF mpango wa mkutano wa wakristo wa Connecticut iliyokuwa ikitoa misaada kwa maskini, wazee na watu wenye mahitaj muhimu. Jarida la mwaka 1996 la Hartford Courant ilitoa maoni, "... Amepata maono na lengo katika maisha ..." [7]

Serikali

[hariri | hariri chanzo]

In 2001, Baughns-Wallace was director of financial education for the Connecticut treasurer's office. Her job entailed teaching citizens of Connecticut about responsible financial planning. A newspaper article described her as "part facilitator, part advocate and part cheerleader."[8]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Adrianne Baughns-Wallace alikuwa na mtoto wa kiume na alitalakiwa na mume wake wa kwanza.[5].

Mume wake wa pili ni Lenzy Wallace, mkurugenzi wa mabadiliko wa Hartford.[7]

Utambuzi

[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2000, Adrianne Baughns-Wallace aliteuliwa kujiunga na Connecticut Women's Hall of Fame, [9] "heshima wanayopewa wale waliovunja vikwazo vya wanawake katika kazi, wakifanya kazi nyingi wakiwa Connecticut."[10] Pia alipokea tuzo ya National Council of Negro Women.[5]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. 1.0 1.1 1.2 "Former Albany newswoman anchors two WFSB programs", Bennington Banner, September 7, 1974, p. 18. Retrieved on August 18, 2018.  Kigezo:Open access
  2. "The Reluctant Celebrity", Hartford Courant, February 8, 1981, p. Hartford Courant Magazine 4. Retrieved on August 20, 2018.  Kigezo:Open access
  3. "(photo caption)", Hartford Courant, October 8, 1978, p. TV Week-31. Retrieved on August 18, 2018.  Kigezo:Open access
  4. 4.0 4.1 4.2 "WTNH Hiring Baughns for Features Spot", Hartford Courant, July 15, 1983, p. D 10. Retrieved on August 19, 2018.  Kigezo:Open access
  5. 5.0 5.1 5.2 "Adrianne Baughns To Quit Channel 3 News on June 4", Hartford Courant, March 12, 1982, p. 17. Retrieved on August 20, 2018.  Kigezo:Open access
  6. "Out of the Spotlight", Hartford Courant, September 9, 2001, p. H 1. Retrieved on August 20, 2018.  Kigezo:Open access
  7. 7.0 7.1 "Lary Bloom", Hartford Courant, April 26, 1996, p. Northeast Magazine 6. Retrieved on August 20, 2018.  Kigezo:Open access
  8. "Baughns-Wallace Prefers A Position Out Of The Spotlight", Hartford Courant, September 9, 2001, p. H 8. Retrieved on August 20, 2018.  Kigezo:Open access
  9. "Adrianne Baughns-Wallace". Connecticut Women's Hall of Fame. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Agosti 2018. Iliwekwa mnamo 20 Agosti 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "First in Flight, First in Print", Hartford Courant, May 7, 2000, p. H 1. Retrieved on August 20, 2018.  Kigezo:Open access
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adrianne Baughns-Wallace kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.