Afrigo Band | |
Nchi | Uganda |
---|---|
Kazi yake | Kundi la Muziki |
Afrigo Band, ni bendi ya muziki nchini Uganda, ni kundi la muziki lililodumu kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Uganda, lililokuwepo kwa miaka 44 ifikapo Agosti 2019.[1][2][3][4]
Bendi hii iliundwa na kundi la wanamuziki wanane wakiongozwa na kiongozi wao wa bendi, mwimbaji, na mpiga saxophone wa alto, Moses Matovu,[5] ambaye aliendelea kuongoza bendi hiyo mpaka kwenye kumbukumbu ya bendi hiyo ya miaka 38[6]. Walicheza na mashabiki wao nyumbani nchini Uganda, kundi hili husafiri mara kwa mara huko Ulaya na Marekani kwenda kufanya maonyesho kwa Waganda katika ya Diaspora. Hii ndio orodha ya waanzilishi wa bendi hiyo.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Afrigo Band kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |