Aldo Pifferi (alizaliwa 26 Oktoba 1938 – alifariki 29 Oktoba 2023) alikuwa mwendeshabaiskeli wa mashindano kutoka Italia. Aliweza kushinda hatua ya 16 ya Giro d'Italia mwaka 1965.[1][2][3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aldo Pifferi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |