Alessandro Fantini

Alessandro Fantini (Fossacesia, 1 Januari 1932Trier, Ujerumani Magharibi, 5 Mei 1961) alikuwa mwendeshabaiskeli mtaalamu mbio za baiskeli barabarani kutoka Italia.

Fantini alifariki baada ya ajali mwishoni mwa hatua ya sita ya Tour of Germany ya mwaka 1961.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alessandro Fantini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.