All Lives Matter ni kauli mbiu inayolenga ukosoaji wa vuguvugu la Black Lives Matter[1][2][3].
Kauli mbiu ya All Lives Matter kwa kawaida huhusishwa na maoni ya kihafidhina, na kukataliwa kwa mawazo yanayoungwa mkono na wafuasi wa vuguvugu la Black Lives Matter, ambalo liliibuka kujibu ukatili wa polisi na vurugu za Kikabila[4].
{{cite book}}
: CS1 maint: location missing publisher (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |