Alojzij Šuštar (14 Novemba 1920 – 29 Juni 2007) alikuwa Askofu Mkuu wa Lyublyana kutoka 1980 hadi 1997.
Alizaliwa Grmada karibu na Trebnje na alifariki dunia mjini Ljubljana, ambako aliishi katika Taasisi ya Mtakatifu Stanislaus kwa miaka 10 ya mwisho ya maisha yake.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |