Amadi State | |
Mahali pa Amadi katika Sudan Kusini | |
Nchi | Sudan Kusini |
---|---|
Makao makuu | Mundri |
Idadi ya kaunti | 3 |
Idadi ya manispaa | |
Serikali | |
- Gavana | Joseph Ngere |
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 171,910 |
Amadi State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Imegawanyika katika kaunti 3: Mundri West County, Mundri East County na Mvolo County.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Amadi (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |