Amarachi Grace Okoronkwo | |
Amezaliwa | 12 Desemba 1992 Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | mchezaji wa mpira wa miguu |
Amarachi Grace Okoronkwo (alizaliwa 12 Desemba 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza katika klabu ya Nasarawa Amazons kwenye Ligi Kuu ya Wanawake ya Nigeria na timu ya taifa ya Nigeria. Kabla ya hapo, alikuwa akichezea klabu ya Kokkola F10 katika Liga ya Finland.[1]
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amarachi Okoronkwo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |