Amason Kingi Jeffah (alizaliwa 1973 [1]) ni mwanasiasa wa Kenya ambaye kwa sasa anahudumu kama spika wa seneti ya Kenya.[1][2]
Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |