Amedeus Msarikie

Amedeus Msarikie (Septemba, 1931 - 7 Februari 2013) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Jozef Tomko mwaka wa 1986. Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Moshi hadi 2007, alipostaafu. Miaka hiyo yote alitumikia kwa unyenyekevu mkubwa kanisa kama Askofu wa Jimbo hilo.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.