Amos Kipruto (alizaliwa 16 Septemba 1992)[1] ni mkimbiaji wa mbio ndefu nchiniKenya. Alishinda medali ya shaba katika mbio za marathoni za wanaume kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia mwaka 2019. Kipruto alipata ushindi katika mbio za London Marathoni mwaka 2022.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amos Kipruto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |