Andrea Lembo ni askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la Tokyo na Askofu wa jimbojina la Mulia, aliyeteuliwa na Papa Fransisko tangu mwaka 2023.[1][2][3][4][5]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |