Anemondi (pia: Annemund, Annemundus, Aunemundus, Ennemond au Chamond; alifariki 657[1]/658) alikuwa askofu mkuu wa mji huo, leo nchini Ufaransa [2] kuanzia mwaka 642/644[3][4] hadi kifodini chake[5][6].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[7][8][9].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Septemba[10].
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |