Angéline Nadié | |
---|---|
![]() | |
Amezaliwa | Angéline Nadié 1 Januari 1968 Ivori kosti |
Amekufa | Julai 2021 |
Kazi yake | Mwigizaji |
Angéline Nadié (1 Januari 1968 – 17 Julai 2021) alikuwa mwigizaji wa nchi ya Ivory Coast[1][2].
Nadié aliugua ugonjwa wa saratani kwa miaka mitatu kabla ya kifo chake. Mnamo mwaka 2018, msaada wa pensheni ya serikali uliombwa hadharani kutoka kwa Waziri wa Utamaduni wa Ivory Coast anayeitwa Maurice Bandama.[3][2]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Angéline Nadié kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |