Aniella Uwimana | |
Amezaliwa | 17 Novemba 1999 Burundi |
---|---|
Nchi | Burundi |
Majina mengine | Nella |
Kazi yake | Mchezaji wa mpira wa Miguu |
Aniella Nella Uwimana amezaliwa tarehe 17 novemba 1999. Ni mchezaji wa kike wa mpira wa miguu kutokea Burundi ambaye kwa sasa anacheza kama mshambuliaji wa Yanga Princess na timu ya taifa ya wanawake Burundi.[1]
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |