Anouk Denton

Denton akiwa na West Ham mnamo 2023

Anouk Stephanie Denton (alizaliwa 9 Mei 2003 )[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama beki wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza kwa walio na umri chini ya miaka 23 [2]

  1. "England - A. Denton - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
  2. The Football Association. "England WU23s squad announcement for Spain camp". https://www.englandfootball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. {{cite web}}: External link in |work= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anouk Denton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.