Antonin Gadal (15 Mei 1877 – 15 Juni 1962) alikuwa mwanahistoria wa Ufaransa aliyetoa maisha yake kusoma historia ya Wakatari (Cathars) wa kusini mwa Ufaransa. Alijikita katika kuchunguza kiundani hali ya kiroho, imani, na itikadi zao.[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |