Arnaldo Catalan

Arnaldo Sánchez Catalán (alizaliwa 18 Septemba 1966) ni askofu kutoka Ufilipino wa Kanisa Katoliki ambaye amekuwa Balozi wa Papa (Apostolic Nuncio) tangu mwaka 2022. Hivi sasa anahudumu kama Balozi wa Papa nchini Rwanda akiwa na cheo cha Askofu Mkuu wa jimbojina la Apollonia.[1]

  1. "Archbishop Arnaldo Sanchez Catalan".
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.