Ashley Ann Cariño Barreto (aliyezaliwa Florida, 3 Agosti 1994) ni mwanamitindo kutoka Puerto Rico, mshindi wa Miss Universe Puerto Rico 2022. Atawakilisha Puerto Rico kwenye Miss Universe 2022.[1]