Asisklo

Bust of St. Acisclus
Sanamu yake ikionyesha uzuri wake na alama ya kukatwa kichwa shingoni. [1]

Asisklo (pia: Acisclus, Ascylus, Ocysellus, Acisclo, Aciscle; alifariki Cordoba, 304) alikuwa Mkristo wa Hispania aliyeuawa pamoja na wenzake 19 mwanzoni mwa dhuluma ya kaisari Diokletian [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Pengine anaongezewa Viktoria kama dada na mfiadini mwenzake [3].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 17 Novemba[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. The red slit in the neck in this bust of St. Acisclus at the Hispanic Society refers to his decapitation at the order of the Roman governor of Cordoba. The handsomeness of this representation of the saint may refer to the governor's taunt, "think about the beauty of your youth, lest you perish."
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/78000
  3. There is doubt about the historical veracity of Victoria's existence, but both martyrs were honored in the Mozarabic liturgy.
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.