Asmita Ale (alizaliwa 3 Novemba 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza anayecheza kama beki wa klabu ya Tottenham Hotspur inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL).[1][2]
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Asmita Ale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |