Ayoub Azzi, (alizaliwa 14 Septemba 1989 huko Ouargla. Ni mwanasoka wa Algeria[1].Pia anacheza katika klabu ya Al-Markhiya kama beki wa kati, na amekuwa akitumika kama beki wa kulia.
Katika majira ya kiangazi ya 2014,Azzi alijiunga na Klabu ya MC Alger,na kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo.[2]
Azzi alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na timu ya taifa ya Algeria katika mechi ya kirafiki ambayo walipoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya Saudi Arabia mnamo tarehe 9 Mei 2018.
MC Alger
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ayoub Azzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |