Ballaké Sissoko | |
---|---|
Ballaké Sissoko akiwa anaimba pamoja na kikundi chake cha 3MA nchini Uhispania
| |
Maelezo ya awali | |
Amezaliwa | 1968 |
Asili yake | Mali |
Kazi yake | Mwimbaji Mpiga kora |
Studio | Indigo Records,Six Degrees Records |
Ballaké Sissoko (alizaliwa 1968) ni mwanamuziki mashuhuri na mpiga kora nchini Mali[1]. Amefanya kazi na Toumani Diabaté na Taj Mahal ni mwanachama wa kundi la 3MA linaloshirikiana na Driss El Maloumi pamoja Rajery.[2][3]
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ballaké Sissoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |