Bang Masters ni albamu yenye mkusanyiko wa nyimbo za Van Morrison zilizotungwa kwenye studio ya Columbia's Legacy Records mnamo 1991. Toleo lingine la nyimbo ya "Brown Eyed Girl" ilijumuishwa kwenye albamu na ilishika nafasi ya sita kati ya nyimbo ishirini na mbili zilizotolewa kabla ya mwaka 1967.[1]
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bang Masters kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |