Barabara ya mchipuko

Ishara huko Singapore.
Ishara huko Marekani.
Ishara huko Ufalme wa Muungano.

Barabara ya mchipuko ni njia ambayo hutumika pale ambapo kunakuwa na matengenezo ya barabara ambapo mchipuko husaidia kupunguza msongamano wa magari hasa katika miji mikubwa.

Barabara hizi husaidia pia kurahisisha usafirishaji wa mizigo pamoja na abiria kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.