Baraza la Utafiti wa Mazingira Asilia (kifupi: NERC) ni baraza la utafiti la Uingereza ambalo linasaidia shughuli za utafiti, mafunzo na uhamishaji maarifa katika sayansi ya mazingira.[1]
Makala hii kuhusu "Baraza la Utafiti wa Mazingira Asilia (Uingereza)" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |