Bartolomeo Bortolazzi (alizaliwa Toscolano-Maderno mwaka 1772; alifariki 1846[1]) alikuwa mwanamuziki mtendaji, mtunzi wa muziki, mwandishi, na mtaalamu wa gitaa na mandolini wa Italia.
Alisifiwa na mwanahistoria wa muziki Philip J. Bone kwa kusaidia kuinua mandolini kutoka katika hali ya kudorora.[2]
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bartolomeo Bortolazzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |