Batili Alake | |
Amezaliwa | Ijebu Igbo |
---|---|
Amekufa | 2013 |
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | Mwanamuziki |
Batile au Batili Alake (alifariki 2013) alikuwa mwimbaji maarufu wa nchini Nigeria . [1] [2]
Batile Alake alizaliwa Ijebu Igbo, katika Jimbo la Ogun . Alhaji Batile Alake alifariki mwaka 2013, akiwa ana kadiriwa kua na umri wa miaka 78. Umri wake sahihi haukujulikana. [3]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Batile Alake kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |