Bibia ni manispaa iliyo katika wilaya ya Amuru, mkoa wa kaskazini wa Uganda.
Bibia ipo katika mkoa mdogo wa Acholi ulio mkoa wa Kaskazini, ni takriban kilometa 26 sawa na maili 16 kwa barabara umbali kutokea kaskazini mwa Atiak ambapo ndio mji wa karibu katika wilaya hiyo.[1] pia ni takriban kilomita 4.5 sawa na maili 3 kwa barabara umbali kutokea kusini mwa mji wa mpakani wa Uganda wa Elegu katika mpaka wa Kimataifa na Sudan Kusini.[2] pia Bibia ipo karibu kilomita 96 sawa na maili 60 kwa barabara kutokea kaskazini mwa Gulu ambalo ni jiji kubwa zaidi katika mkoa huo mdogo.[3] ikiwa majira nukta (3 ° 28'26.0 "N, 32 ° 04'04.0" E (Latitudo: 3.4739; Longitudo: 32.0678)).[4]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: |first=
has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bibia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |