Bisi Adeleye-Fayemi

Bisi Adeleye-Fayemi (alizaliwa tarehe 11 Juni 1963) ni mwanaharakati wa kijinsia kutoka Nigeria na Uingereza, mtetezi wa sera, mtaalamu wa misaada ya mabadiliko ya kijamii, na mwandishi.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bisi Adeleye-Fayemi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.