Lakshmi Narasimha Vijaya Rajagopala Sheshadri Sharma Rajesh Raman | |
Nchi | India |
---|---|
Majina mengine | Blaaze |
Kazi yake | Mwimbaji |
Lakshmi Narasimha Vijaya Rajagopala Sheshadri Sharma Rajesh Raman (amezaliwa 15 Oktoba 1975), anajulikana kitaalamu kama Blaaze ( /ˈb lɑː z eɪ / ), [1] ni mwimbaji wa lugha ya Kitamil na rapa wa sinema za Kihindi ambaye ni mtaalamu wa uandishi na kufanya muziki wa rap . [2] alizaliwa Chennai, alikulia Zambia na baadaye alipata elimu yake nchini Uingereza na Marekani .[3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Blaaze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |