Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Nigeria |
Nchi anayoitumikia | Nigeria |
Jina halisi | Blessing |
Jina la familia | Edoho |
Tarehe ya kuzaliwa | 5 Septemba 1992 |
Mahali alipozaliwa | Nigeria |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo |
Mwanachama wa timu ya michezo | Pelican Stars F.C. |
Mchezo | mpira wa miguu |
Blessing Edoho (alizaliwa Nigeria, 5 Septemba 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza katika klabu ya wanawake ya Manchester City. [1]
Edoho alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa katika Kombe la Dunia la FIFA chini ya umri wa 20 mwaka 2010. Mnamo Mei 2015 Edoho aliitwa kuchezea timu ya Nigeria katika Kombe la Dunia ya Wanawake ya FIFA ya 2015. [2]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Blessing Edoho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |