Bob Donaldson

Robert Donaldson (27 Agosti 1868 - 28 Aprili 1947) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu.

Donaldson alicheza katika timu ya mpira ya AirDrieonean F.C na Blackburn Rovers F.C. Kabla ya kujiunga na timu ya Newton Heath mwaka 1892. Alifunga magoli 66 katika maonyesho ya 147 ya Newton Heath. Magoli haya aliyafunga wakati timu yake ikicheza na timu ya Blackburn Rovers tarehe 3 Septemba mwaka 1892.[1] Donaldson alistaafu kucheza mpira wa miguu mwaka 1897.

  1. "Club History: Newton Heath 1877-1902". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Machi 2007. Iliwekwa mnamo 27 Novemba 2006.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bob Donaldson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.