Boniface Tshosa Setlalekgosi

Boniface Tshosa Setlalekgosi (14 Septemba 192725 Januari 2019) alikuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Gaborone, Botswana, kuanzia mwaka 1981 hadi 2009.

Kisha kuongokea imani ya Ukristo wa Kikatoliki, alianza mafunzo yake ya upadre mwaka 1957 katika Seminari ya Mtakatifu Joseph huko Chishawasha, Salisbury (sasa Harare), Rhodesia. Alipadrishwa mwaka 1963.

Setlalekgosi alichukua nafasi ya Urban Charles Joseph Murphy na kuwa askofu wa pili wa Kanisa Katoliki katika historia ya Botswana.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.