Brian Abrahams | |
Amezaliwa | 26 Juni 1947 Cape town,Afrika kusini |
---|---|
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mwimbaji |
Brian Abrahams (alizaliwa 26 Juni 1947 huko Cape Town, Afrika Kusini) [1] ni mpiga ngoma na mwimbaji wa muziki wa jazz wa nchini Afrika Kusini.[2]
Abrahams alianza kufanya kazi kama mwimbaji katika bendi za nchini Afrika Kusini katika miaka ya 1970. [3] Abrahams alishiriki katika tamasha huko Swaziland kama mpiga ngoma za Sarah Vaughan na Nancy Wilson . Mnamo 1975 alihamia nchini Uingereza, ambapo alipata kutambuliwa zaidi katika kazi yake.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Brian Abrahams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |