Bright Anukani

Bright Anukani (alizaliwa 26 Juni 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uganda anayecheza kama kiungo kwa klabu ya KCCA na timu ya taifa ya soka ya Uganda.