Bunmi Kayode | |
Amezaliwa | 13 Aprili 1985 Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | Mchezaji wa Soka |
Bunmi Kayode (alizaliwa 13 Aprili 1985) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye alicheza kama beki kwenye timu ya taifa ya wanawake nchini Nigeria. Alishiriki na timu yake ya taifa kwenye michuano ya Kombe la Dunia la FIFA mwaka 2003.[1]
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bunmi Kayode kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |