Busitema

Mahali pa Busitema katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°34′21″N 34°03′00″E / 0.57250°N 34.05000°E / 0.57250; 34.05000

Busitema ni makazi ya Wilaya ya Busia, mashariki mwa Uganda.

Ni eneo kwenye Kampasi Kuu ya Chuo Kikuu cha Busitema, moja ya vyuo vikuu vitano vya umma nchini Uganda.[1]