Bwaise

Bwaise ni mji jirani na jiji la Kampala, Uganda. Kutokana na kukosa mipango miji, umekuwa na mchanganyiko wa maeneo ya kibiashara, viwanda na makazi wenye miundombinu mibovu. Ukosefu wa miundombinu iliyoendelea na utoaji wa huduma mbaya imepelekea wakaao mijini kupitia changamoto kadhaa ikiwemo mafuriko na magonjwa yanayosababishwa na maji.[1]

Mafuriko huko Bwaise

Bwaise imepakana na Kawempe kaskazini, Kyebando mashariki, Mulago kusini mashariki, Makerere kusini na Kasubi kusini magharibi. Eneo hili liko takribani kilomita 5, kwa barabara kaskazini mwa Kampala wilaya kuu ya biashara.

  1. Lule, Jeff (11 Mei 2011). "Bwaise Floods Displace 700 People". New Vision. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Juni 2011. Iliwekwa mnamo 13 Juni 2014. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)