CASBEE (Comprehensive Assessment System for Built Environment Efficiency) ni mfumo wa usimamizi wa ujenzi wenye malengo ya kupunguza athari za mazingira nchini Japani.[1]