CAMFED (pia inajulikana kama kampeni ya elimu ya kike) ni shirika la kimataifa lisilo la kiserikali, na lisilo la faida lililoanzishwa mwaka 1993 ambalo dhamira yake ni kutokomeza umaskini barani Afrika kupitia elimu ya wasichana na uwezeshaji wa wanawake vijana.
Programu za CAMFED zinafanya kazi nchini Zimbabwe, Zambia, Ghana, Tanzania na Malawi.[1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |