'
Camille Josephine Billops | |
---|---|
Amezaliwa | Agosti 12 1933 Los Angeles, California |
Amefariki | Juni 1 2019 |
Kazi yake | Mchoraji |
Camille Josephine Billops (Agosti 12, 1933 - Juni 1, 2019) [1] ni mchoraji mtengenezaji filamu, mtafutaji nyaraka, wa michoro, pia ni mwalimu mwenye asili ya Afrika.
Jacqueline Billops, alizaliwa huko Los Angeles, California, na wazazi Alma Gilmore, ambaye asili yake ilikuwa ni South Carolina, na Luscious Billops, ambaye asili yake ilikuwa ni Texas. Mama yake alikuwa mfumaji, na baba yake mpishi.[2] Walifanya kazi "huduma" kwa familia moja huko Beverly Hills, ambayo iliwasaidia kumudu kumpa elimu ya sekondari ya kibinafsi katika shule[3][4][5] ya Katoliki.
Kama msichana mdogo, alipenda kuchora na kuchezea seti yake ya upinde na mshale na mabunda.[6] Alianza kugundua sanaa yake kupitia ubunifu wa wazazi wake katika upishi na kutengeneza nguo.
Billops alihitimu mwaka 1960 kutoka Los Angeles State College, ambapo alisomea elimu kwa watoto wenye ulemavu wa mwili. Alipata shahada yake ya B.A. kutoka Chuo Kikuu cha California na shahada yake ya M.F.A. kutoka City College ya New York mwaka 1975.
{{cite web}}
: Unknown parameter |dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Camille Billops kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |