“Can We Chill” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha wimbo wa Can We Chill.
| |||||
Single ya Ne-Yo kutoka katika albamu ya Because of You | |||||
Imetolewa | 29 Septemba 2007 (IRE) 1 Oktoba 2007 (UK) | ||||
Muundo | CD, digital download | ||||
Imerekodiwa | 2006 - 2007 | ||||
Aina | R&B, pop | ||||
Urefu | 4:24 (toleao la albamu) 3:41 (uhariri wa redio) | ||||
Studio | Def Jam | ||||
Mtunzi | S. Smith, E. Hudson | ||||
Mtayarishaji | Eric Hudson | ||||
Mwenendo wa single za Ne-Yo | |||||
|
"Can We Chill" ni wimbo wa tatu kutoka katika albamu ya Because of You ya mwimbaji-mtunzi wa muziki wa R&B na pop - Ne-Yo. Wimbo ulitoka mnamo tarehe 29 Septemba ya mwaka wa 2007. Wimbo ulitayarishwa na Eric Hudson.
Wimbo umekuwa mmoja kati ya nyimbo za Ne-Yo, ambazo zimepata chati hafifu katika Marekani, na wa pili kwa kudorola katika chati za Uingereza. Katika chati za U.S., "Can We Chill" umefeli kabisa kuingia katika chati za Billboard Hot 100 bora. Yaani umeshika nafasi ya 52 kwa chati ya Nyimbo Bora za Billboard Hot R&B/Hip-Hop.
CDza UK:
Promo za UK:
Chati za (2007) | Nafasi Iliyoshika |
---|---|
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs | 52 |
Chato Rasmi za UK | 62 [1] |