Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Nigeria |
Jina halisi | Charity |
Jina la familia | Adule |
Tarehe ya kuzaliwa | 7 Novemba 1993 |
Mahali alipozaliwa | Warri |
Lugha ya asili | Kiigbo |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza, Kiigbo, Nigerian Pidgin |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo |
Alisoma | Delta State University |
Mwanachama wa timu ya michezo | Rivers Angels F.C. |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 20 |
Charity Ogbenyealu Adule (alizaliwa 7 Novemba, 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya SD Eibar katika ligi ya Primera División nchini Hispania na timu ya taifa ya wanawake ya nchini Nigeria. Akiwa katika ngazi ya klabu, amewahikuchezea timu ya Rivers Angels, Bayelsa Queens na BIIK Kazygurt.[1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charity Adule kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |