Chike Ezekpeazu Osebuka (aliyezaliwa 28 Januari 1993), maarufu kama Chike, ni mwimbaji wa Nigeria, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chike kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |